Kilobi

Kilobi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Walobi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilobi nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 286,000. Pia kuna wasemaji 156,000 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilobi iko katika kundi la Kigur.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search